Baada ya kueleza anavyompenda baba yake, Paris alishindwa kuvumilia, alianza kulia na kusababisha simanzi ukumbini na popote walipokuwa wakitazama tukio hilo la kihistoria.
LILIKUWA tukio la nadra, halikutarajiwa, na ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mtoto wa Michael Jackson kuzungumza hadharani tena mbele ya umati wa watu.
Watoto wa Mfalme huyo wa muziki wa Pop wamekuwa wakiishi maisha ya usiri ikiwa ni pamoja na kuficha sura zao kwa mask.
Jana ilikuwa ni mara ya pili kwa watoto hao, Prince, Paris na Prince II kuonekana hadharani bila kuficha sura zao.
Kwa mara ya kwanza walionekana hivyo Mei mwaka huu wakiwa mtaani na baba yao wakati wakienda studio.
Aliyoyasema Paris Jana ndiyo taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa hivi sasa, maneno yake yamegusa wengi nikiwamo mimi.
Alisema hivi:
"Ever since I was born, Daddy has been the best father I could imagine,"
Baada ya kutamka maneno hayo alianza kububujikwa machozi, akamuegemea shangazi yake, Janet, na akajitahidi kuzungumza tena akasema:
"I just want to say I love him so much."
Mtoto huyo aliyasema hayo akiwa jirani na jeneza la marehemuMichael Jackson.

Hi, it's a very great blog.
ReplyDeleteI could tell how much efforts you've taken on it.
Keep doing!