kupata mchumba c lazima uwe kijana hata wazee pia hupata kupitia internet.
MSD YAPONGEZWA KWA MABORESHO YA HUDUMA MKOANI KAGERA
-
Bohari ya Dawa (MSD) imepongezwa kwa kuimarisha mnyororo wa ugavi wa bidhaa
za afya mkoani Kagera, ambao umepunguza malalamiko ya upungufu wa bidhaa za
a...
30 minutes ago
Nimeona ulikuja kunisalimu kibarazani kwangu hapa nilikuwa sijafika. Nimechake kweli hapo hao akina dada. Kweli dunia imebadilika. Da Rose karibu sana tena kibaraza Maisha.
ReplyDeleteAsante sana Yansint nimeshakaribia, nawe pia wakaribishwa sana kibarazani kwangu jisikie huru wakati wowote.
ReplyDelete