Haya chacha na yeye kachukia angalia kivumbi chake sijui utambambia nini atulie mtu chali, watu mbio mh! we have to be carefully
Haya chacha na yeye kachukia angalia kivumbi chake sijui utambambia nini atulie mtu chali, watu mbio mh! we have to be carefully
Jamani nawatakia weekend njema najua mambo ya full shangwe ni kawaida ndo maana nimewawekea Remix ya full shangwe ya HUssein machozi tuburudike kabla ya kutembelea sehemu za starehe kwanza.
Enjoy your weekend.
Jyoti akiwa na marafiki zake wa shule.
Jyoti akiwa masomoni darasani.
JOyti akiwa anajisomea
Mchumba wa Roger Federer, Miroslava Vavrinec(wa mbele) na mke wa Roddick, Brooklyn Decker wakishuhudia sweet hearts wao wakipambana.
Familia ya Michael Jackson kwenye shughuli ya jana
haya chacha mama na t-shirt
Dada wa Michael Jackson,Janet na Latoya wakimfariji mtoto wa Michael, Paris
Kaka wa Michael, Marlon akizungumza kwenye shughuli ya jana, uchungu ulisababisha ashindwe kuendelea.
Enzi za uhai wa king wako jacko.

Mtoto wa kwanza wa Michael, Prince akiwa na dada yake, Paris katika shughuli ya kumuaga baba yao jana jijini Los Angeles.
Michael Jackson enzi hizo.
Ndugu wa Michael wakimfariji Paris baada ya mtoto huyo kuwatangazia mamilioni ya watu kote duniani upekee wa baba yake na namna anavyompenda.
Wanamlilia Michael
Umati uliofika ukumbini jana jijini Los Angeles kumuaga Michael. Watu 20,000 walikuwa ukumbini humo.
Paris akizungumza wakati wa shughuli ya kumuenzi baba yake jana jijini Los Angeles,Marekani
Baada ya kueleza anavyompenda baba yake, Paris alishindwa kuvumilia, alianza kulia na kusababisha simanzi ukumbini na popote walipokuwa wakitazama tukio hilo la kihistoria.
Ndege ya Yemen yaanguka Comoro