Habari za kusikitisha zilizotufikia asubuhi zinasema kuwa Mwimbaji maarufu wa taarabu nchini Tanzania, Nasma Khamis Kidogo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na anatarajiwa kuzikwa kesho jijini Dar. Marehemu alijipatia umaarufu mkubwa katika ulimwengu wa Taarabu. Habari zaidi juu ya kifo chake zitawajia kupitia magaeti yetu yajayo. Mungu ailaze roho ya marehemu peponi - Amin
Rais wa Singapore awasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu
-
Rais wa Jamhuri ya Singapore Mhe.Tharman Shanmugaratnam, amewasili nchini
kwa Ziara ya Kitaifa ya siku tatu, Juni 8-10, 2026.
Katika Uwanja wa Ndege wa...
13 hours ago


No comments:
Post a Comment